MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN

WESTERN TANGANYIKA COLLEGE

ONLINE APPLICATION PORT (OAP)

Maelezo Muhimu kabla ya kuanza kutuma maombi kwenye mtandao
Kabla ya kuanza kutuma maombi tafadhari;-
 1. Uwe na viambatanisho vyote muhimu kama vile cheti cha
     kidato cha nne, kidato cha sita (kama umefika) 
 2. Kama cheti hakijatoka, tafadhari hakikisha unayo hati ya
     matokeo (yaani result slip)
 3. Kwa wale wanaoomba kujiunga na NTA Level 5 au NTA
     Level 6, hakikisha una hati ya matokeo ya NTA Level 4 au 5
     na kuwa unakumbuka namba yako ya usajili ya NACTE
 4. Gharama za maombi ni Tsh 10,000/-
 5. Malipo haya hufanyika kupitia
             Account No: 01J1087964001
             Bank: CRDB
 6. Kwa msaada zaidi piga 0752 200 203, 0717 046 867, 0735 046 867