Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kutumia mfumo huu
Ili uweze kutumia vyema FAMS hakikisha kuwa
1. Kila mwanafunzi unayepokea malipo yake ana akaunti ya
mlipa ada.
2. Hakuna malipo yanafanyika bila uwepo wa vielelezo vya
malipo kama vile risiti za benki nakadharika
3. Unatumia Email na password uliopewa kila unapoingia
kwenye mfumo huu
4. Unajua unachokifanya kwenye mfumo. Ni vizuri kuuliza
pale usipopaelewa vyema, ni hatari sana kufanya jambo
usilolijua vyema.